Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 leo Oktoba 20,2020

 

Mchambuzi ni Doreen Mwara kutoka TMA


Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Oktoba 20, 2020. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa kuendelea kwa baadhi ya maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria na Magharibi mwa nchi.

No comments

Powered by Blogger.