Hiki ndicho kikosi cha wachezaji wa Taifa Stars walioitwa michuano ya CHAN

Kipa namba wa Yanga SC, Metacha Boniphace Mnata hajaorodheshwa kwenye kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoanza maandalizi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), anaripoti Mwandishi Diramakini.
Hayo ni kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa ya Kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoingia kambini Januari Mosi,2021 kwa ajili ya mashindano ya Chan 2021 na mechi mbili za kirafiki, waliotajwa katika kikosi hicho ni pamoja na;

Aishi Manula wa Simba

Juma Kaseja wa KMC

Dan Mgore wa Biashara United

Abdutwalib Mshery wa Mtibwa Sugar

Shomari Kapombe wa Simba

Israel Mwenda wa KMC

Edward Manyama wa Namungo

Yassin Mustapha wa Yanga

Bakari Mwamnyeto wa Yanga

Agrey Morris wa Azam FC

Erasto Nyoni wa Simba

Carlos Protos wa Namungo

Said Ndemla wa Simba

Baraka Majogoro wa Mtibwa Sugar

Yusuph Mhilu wa Kagera Sugar

Ayoub Lyanga wa Azam

Feisal Salum wa Yanga

Rajab Athuman wa Gwambina

Ditram Nchimbi wa Yanga

John Bocco ni Simba

Deus Kaseke yeye Yanga

Lucas Kikoti wa Namungo

Farid Mussa wa Yanga

Adam Adam wa JKT Tanzania

Dickson Job wa Mtibwa Sugar

Abdulrazack Hamza wa Mbeya City U 20

Khelfinnie Salum wa U 20 Azam FC

Samwel Jackson wa U 20 Ihefu

Omari Omari wa u 17

Paschal Gaundence wa U 20 Azam FC

Post a Comment

0 Comments