New Habari 2006 inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imesitisha uzalishaji wa magazeti

 

Kampuni ya New Habari 2006 ambayo inazalisha Magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imesitisha uzalishaji wa magazeti yote kutokana na mwenendo mbaya wa biashara.

Mhariri Mtendaji wa Kampuni hiyo, Dennis Msacky, amesema uzalishaji wa Magazeti hayo utasitishwa kuanzia Jumatatu ijayo ya Desemba 07, 2020.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news