Wachezaji wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes
wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa King Khalid mjini Riyadh, Saudi
Arabia baada ya kuwasili mapema leo kwa ajili ya michezo miwili ya
kirafiki ya kimataifa kujiandaa na Fainali za Afrika za U20
zitakazofanyika Mauritania kuanzia Februari 14 hadi Machi 4, 2021.
|