Rais Dkt.Mwinyi akutana na uongozi wa Benki ya NBC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo walipokutana na Rais leo Desemba 3, 2020 katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NBC Tanzania, Theobald Sabi akiongoza Ujumbe wa Benki hiyo aliofuatana nao walipokutana na Rais leo Desemba 3, 2020 katika Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].

Post a Comment

0 Comments