Utabiri wa hali ya hewa Desemba 6, 2020

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Desemba 6, 2020 unaletwa na mchambuzi, Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo ya Ziwa Victoria pamoja na Magharibi mwa nchi.

Post a Comment

0 Comments