Utabiri wa hali ya hewa leo Desemba 1, 2020

Utabiri wa Hali ya Hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Desemba 1, 2020 unaletwa na mchambuzi Thereza Ngassa kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika ya maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments