Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 1,2024

ARUSHA-Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengeneza taswira nzuri zaidi ya kidiplomasia duniani, hivyo ni fursa njema kwa wadau wa utalii nchini kutumia nafasi hiyo kama sehemu ya kutengeneza kipato zaidi.

Akizungumza kwenye kongamano la uwekezaji kwenye sekta ya utalii mkoani Arusha Aprili 30,2024 Prof. Kitila amesema,ukuaji wa utalii na uimara wake unategemea zaidi msingi wa kidiplomasia wa nchi husika ambapo taswira ya jambo hilo kwa hapa nchini ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ameitendea haki suala hilo.

















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news