Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 29,2024

ARUSHA-Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), GalileeTemple lililopo Ngaramtoni Arusha limeadhimisha miaka 85 ya kuanzishwa kwake na kutoa msaada wa vyakula kituo cha watoto kiitwacho Mama Safi.


Akizungumzia kuhusu maadhimisho hiyo, Prof. Solomon Mwagisa ambaye ni Askofu wa Kanisa hilo, ameishukuru serikali kwa ushirikiano wanaotoa katika masuala ya dini na kusisitiza jamii kurudisha fadhila kwa jamii zenye uhitaji katika maeneo mbalimbimbali wanayoishi.























Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news