Je, tayari una Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN)? Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene anaweka wazi namna ya kupata kitambulisho

Je, tayari una Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN)? Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene anaweka wazi mpango wa kuweza kuwapatia Vitambulisho wananchi ambao wameshatambuliwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)

Post a Comment

0 Comments