Utabiri wa hali ya hewa Januari 8, 2021

Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Januari 8, 2021 unaletwa kwenu na mchambuzi Magreth Massawe kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).Kwa mujibu wa TMA, vipindi vya mvua kubwa vinatarajiwa kunyesha katika maeneo ya Nyanda za Juu Kusini-Magharibi na maeneo ya Kusini.


Post a Comment

0 Comments