HomeHabari Vikao vya Kamati za Bunge kuanza Januari 18 hadi 31, 2021 jijini Dodoma Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ofisi ya Bunge jijini Dodoma, Ratiba ya shughuli za Kamati za Bunge inapatikana katika tovuti ya Bunge ambayo ni www.parliament.go.tz Tags Habari Facebook Twitter