Waamuzi wa Tanzania kuchezesha michuano maalumu Rwanda

Shirikisho la Mpira wa Miguu Rwanda (FERWAFA) limeomba waamuzi wanne wa Kimataifa wa Tanzania kuchezesha michuano maalumu itakayofanyika nchini humo. 

Hayo yamebainishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ambapo waamuzi hao watachezesha michuano hiyo inayotarajiwa inatarajiwa kuanza Januari 7 hadi 11,2021.

Post a Comment

0 Comments