🔴LIVE: SIMBA VS AZAM FEBRUARI 7, 2021 BENJAMIN MKAPA

  Leo Februari 7, 2021 inachezwa mechi moja kubwa, ni mechi ya kiporo ikiwakutanisha vigogo wawili wa jiji la Dar es Salaam, Azam FC dhidi ya Simba SC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

No comments

Powered by Blogger.