Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today February 4th, 2021

 

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO:TAREHE: 04/02/2021.
 
Mikoa ya Shinyanga, Mara, Simiyu, Kagera, Geita, Mwanza, Tabora, Kigoma, Katavi na Ruvuma: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, Mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
.............
Mikoa ya Songwe, Iringa, Rukwa, Mbeya, Njombe, Dodoma, Singida pamoja na Kusini mwa Mkoa wa Morogoro, Lindi na Mtwara: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
.............
Mikoa ya Manyara, Kilimanjaro na Arusha: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
............
Mkoa wa Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia), Dar es Salaam, Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba), Lindi pamoja na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
.............
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 29°C 17°C
D'SALAAM 32°C 24°C
DODOMA 29°C 19°C
KIGOMA 28°C 20°C
MBEYA 27°C 16°C
IRINGA 27°C 16°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 29°C 19°C
TABORA 30°C 17°C
TANGA 33°C 24°C
ZANZIBAR 32°C 24°C
............
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani yote; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Madogo.
Matarajio kwa siku ya jumamosi tarehe 06/02/2021: Mabadiliko Kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 04/02/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

No comments

Powered by Blogger.