Hayati Dkt.Magufuli amtoa machozi Dkt.Jakaya KikweteNimepata tabu kuandika kwa kifupi kuelezea simanzi na masikitiko yangu kwa msiba mkubwa ulioukumba nchi yetu kwa kuondokewa na mpendwa wetu Mheshimiwa Rais.

@MagufuliJP
. Nimelazimika kuyaambatisha hapa chini. Mwenyezi Mungu amuweke mahala pema, peponi,"Rais mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Post a Comment

0 Comments