Utabiri wa hali ya hewa/ Weather Forecast today Mach 2nd, 2021

 UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO: TAREHE: 02/03/2021

Mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa, Rukwa, Njombe, Kigoma, Tabora, Katavi, Ruvuma, Mtwara, Kagera, Geita, Kusini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
............................
Mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mara, Simiyu: Hali ya mawingu kiasi, ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
...........................
Mkoa wa Lindi: Unatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, Mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
............................
Mikoa ya Dodoma na Singida: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi, Mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
..............................
Mikoa ya Manyara, Kilimanjaro, Arusha, Dar es Salaam, Tanga (Visiwa vya Unguja na Pemba), Pwani (ikijumuisha Visiwa vya Mafia) pamoja na Kaskazini mwa Mkoa wa Morogoro: Inatarajiwa kuwa na Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
...............................
VIWANGO VYA JOTO, VYA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI Kiwango cha juu Kiwango cha chini
cha joto cha joto
ARUSHA 30°C 17°C
D'SALAAM 33°C 25°C
DODOMA 29°C 19°C
KIGOMA 29°C 20°C
MBEYA 26°C 17°C
IRINGA 26°C 17°C
NJOMBE 20°C 12°C
MWANZA 30°C 21°C
TABORA 29°C 19°C
TANGA 33°C 25°C
ZANZIBAR 34°C 26°C
.................................
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa; kutoka Kaskazini Mashariki kwa Pwani ya Kaskazini na kutoka Kaskazini kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya Bahari: Inatarajiwa kuwa na Mawimbi Makubwa kiasi.
Matarajio kwa siku ya Alhamisi tarehe 04/03/2021: Mabadiliko Kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 02/03/2021.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news