Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya TARI yaanza ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za utafiti na maendeleo ya mazao ya korosho, ufuta na karanga MtwaraBodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Aprili 21,2021 imeanza ziara ya kutembelea na kukagua shughuli za utafiti na maendeleo ya mazao ya korosho, ufuta na karanga katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo - TARI NALIENDELE kilichopo mkoani Mtwara.

Post a Comment

0 Comments