Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 22, 2021

Rais mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete,Kinana waibua mjadala, linaripoti Gazeti la Nipashe leo Aprili 22, 22021
Vitabu ni Mjumbe mkimya wa Mungu, linaripoti Gazeti la Sauti Kuu leo Aprili 22, 2021
Wizara ya Fedha kuanza kutekeleza maagizo ya Rais Samia kuhusu misamaha ya kodi, linaripoti Gazeti la Jamvi la Habari leo Aprili 22, 2021
Serikali yatangaza nafasi elimu bila malipo vyuo vikuu, linaripoti Gazeti la Uhuru leo Aprili 22, 2021
Mambo tisa yaongeza joto hotuba ya Rais Samia leo, linaripoti Gazeti la Majira leo Aprili 22, 2021
Nugaz afichua ishu ya Saido, linaripoti Gazeti la Mwanaspoti leo Aprili 22, 2021
Tundu Lissu anasema yakifanyika mambo haya anaweza kurudi nyumbani Tanzania, linaripoti Gazeti la Mwananchi leo Aprili 22, 2021
Mke wa Rais wa Zanzibar awataka wenye vipato kusaidia wenye mahitaji, linaripoti Gazeti la Zanzibarleo leo Aprili 22, 2021

Post a Comment

0 Comments