RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA YUSUPH TINDI MNDOLWA KUWA BALOZI


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Yusuph Tindi Mndolwa kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo Aprili 19, 2021.  Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Yusuph Tindi Mndolwa akila Kiapo cha Uadilifu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao eGA Bw. Benedict Benny Ndomba mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo Aprili 19,2021.
Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Yusuph Tindi Mndolwa. (   (Picha zote na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments