Waziri Mkuu akizungumza na Wabunge kwa nyakati tofauti Bungeni

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mawasiliano na Tekinolojia, Dkt. Faustine Ndugulile, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Catherine Magige, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi , Bungeni jijini Dodoma, Aprili 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments