IGP SIRO APOKEA NAKALA ZA MIONGOZO YA KUZUIA NA KUFICHUA UHALIFU

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (katikati) akipokea baadhi ya nakala za vitabu vya mwongozo wa kuzuia na kufichua uhalifu katika Kata/Shehia kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Jamii wa Kampuni ya vinywaji ya Coca Cola, Salum Nassoro, ambapo jumla ya nakala 2000 zilichapishwa na kukabidhiwa kwa Jeshi hilo kupitia ufadhili wa kampuni hiyo ya vinywaji, kushoto anayeshuhudia ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Robert Boaz, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro (katikati) akionesha baadhi ya nakala za vitabu vya mwongozo wa kuzuia na kufichua uhalifu katika Kata/Shehia kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Jamii wa Kampuni ya vinywaji ya Coca Cola, Salum Nassoro, ambapo jumla ya nakala 2000 zilichapishwa na kukabidhiwa kwa Jeshi hilo kupitia ufadhili wa kampuni hiyo ya vinywaji, kushoto ni Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai DCI Robert Boaz, hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es salaam. Picha na Jeshi la Polisi.

Post a Comment

0 Comments