Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Shaka Hamidu Shaka afunguka

Shaka Hamidu Shaka, kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kila ifikapo Mei 3 ya mwaka Dunia huadhimisha Siku ya Habari. Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali zake zinatambua na kuheshimu vyombo vya habari na waandishi wa habari kwani tasnia hiyo ina msukumo na mchango mkubwa wa maendeleo, ANARIPOTI MWANDISHI DIRAMAKINI (diramakini@gmail.com).


Post a Comment

0 Comments