SD BIOSENSOR YA KOREA YAKABIDHI VIFAA VYA MAABARA VYA UCHUGUZI WA CODIV 19 KWA WIZARA YA AFYAMakamau wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman akikabidhiwa Vifaa vya Maabara vya uchunguzi wa Covid 19, vilivotolewa na Kampuni ya SD Biosensor ya Korea akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vital Supplies Limited ya Tanzania Jimmy C Apson. Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na (kushoto kwa Makamu) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui na (kulia kwa Mkurugenzi) CEO wa Vital Supplies Limited Sanjay Patadia wakipika makofi wakati wa hafla hiyo ya makabidhiano.

Post a Comment

0 Comments