Harambee ya kuchangia Kituo cha Lungo Day Care wilayani Handeni


Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Siriel Nchemba (mwenye kilemba) akiongoza harambee ya kuchangia Kituo cha Lungo Day Care kilichopo Kata ya Vibaoni Halmashauri ya Mji Handeni. Jumla ya sh. 213,000 zilipatikana, huku Nchemba akitoa sh. 120,000, na Katibu Tawala wa Wilaya ya Wilaya ya Handeni Mashaka Mgeta akitoa sh. 60,000. Fedha hizo zitasaidia kununua matofali kwa ajili ya ujenzi wa madarasa. (Picha na Yusuph Mussa).
Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Siriel Nchemba (mwenye kilemba) akikata utepe kwenye ufunguzi wa Kituo cha kulelea watoto wadogo cha Lungo Day Care kilichopo Kata ya Vibaoni katika Halmashauri ya Mji Handeni.
Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga Siriel Nchemba (mwenye kilemba) mara baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye ufunguzi wa Kituo cha kulelea watoto wadogo cha Lungo Day Care kilichopo Kata ya Vibaoni katika Halmashauri ya Mji Handeni.

Post a Comment

0 Comments