Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mnamo Desemba 16, 2025, imekamata shehena kubwa ya mafuta ya kupikia ya magendo, jumla ya madumu 23,755, yaliyokuwa yakiingizwa nchini kinyume na taratibu kupitia Bandari ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam.




Kamishna Mkuu wa TRA, Bw. Yusuph Juma Mwenda, akizungumza mara baada ya zoezi hilo na kueleza kuwa bidhaa hizo za magendo zimekuwa tishio kwa uchumi wa nchi, kwa kuwa zinapunguza mapato ya serikali na kudhoofisha ukuaji wa viwanda vya ndani.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo


























