Polisi: Freeman Mbowe anakabiliwa na tuhuma za kigaidi ikiwemo kuua viongozi wa Serikali


Jeshi la Polisi nchini limetoa ufafanuzi kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe anashikiliwa kwa tuhuma za kula njama na kufanya vitendo vya kigaidi ikiwepo kuua viongozi wa serikali ambapo wenzeka 6 walishafikishwa Mahakamani.

Post a Comment

0 Comments