🔴LIVE:Serikali yajibu mapigo hoja za Askofu Josephat Gwajima

Kupitia mazungumzo haya, Naibu Waziri wa Afya, Mheshimiwa Dkt. Godwin Mollel amesema Askofu Josephat Gwajima anapotosha Taifa. Hivyo asipothibitisha madai yake dhidi ya chanjo ya Corona atashughulikiwa.

Dkt.Mollel amesema, Askofu Gwajima hawezi kupingana na Serikali na hana uthibitisho wa kisayansi.

Post a Comment

0 Comments