Mwandishi wa Habari ITV afariki katika ajali akiwa njiani kuungana na Kamati ya Bunge inayofanya ziara Songwe


Mwandishi wa ITV na Radio one mkoa wa Songwe,Gabriel Kandonga amefariki kwa ajali alfajiri ya leo akiwa njiani kuungana na kamati ya bunge inayoshughulikia masuala ya Ukimwi na Dawa za Kulevya ambayo inaendelea na ziara yake wilayani SongwePost a Comment

0 Comments