Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) ateta na wanachama Kata ya Mbekenyela


Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akihutubia wakazi wa shina namba 1 katika Kijiji cha Dodoma, Kata ya Mbekenyela Wilayani Ruangwa, Lindi ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akimpongeza Mwenyekiti wa Shina namba 1 katika kijiji cha Dodoma, kata ya Mbekenyela,Bi. Fatma Rashidi (kulia) kwa kazi nzuri anayofanya ikiwa siku ya kwanza ya Ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti wa Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu).

Post a Comment

0 Comments