Rais Samia azungumza na CEO wa Royal Dutch Shell PLC kwa mtandao


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Mtandao na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell PLC yenye Makao Makuu yake nchini Uholanzi, Bw. Ben Van Beurden, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Oktoba 4, 2021.

Post a Comment

0 Comments