TRA yavunja rekodi ukusanyaji mapato, yakusanya Trilioni 5.15/- kwa Julai na Septemba, 2021


Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya Shilingi trilioni 5.15 kipindi cha Julai hadi Septemba 2021, swa na ongezeko la asilimia 17.4 ikilinganishwa na mwaka 2020/21.

Mafanikio hayo yametokana na mwamko wa kulipa kodi kwa hiari, ulipaji malimbikizo na kuimarika kwa uhusiano kati ya TRA na walipakodi;

Post a Comment

0 Comments