Waziri Mkuu ashiriki sala ya kumuombea Hayati Dkt.John Magufuli


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishirki katika sala fupi ya kumuombea aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwenye kaburi la marehemu, wilayani Chato, Mkoani Geita, Oktoba 12, 2021. Kushoto ni Mama Janeth Magufuli na aliyepiga magoti ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments