PICHA:Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


Kulia ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi Taifa, Zainabu Zuberi Sige na Diwani wa Viti Maalum Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Aziza. Wengine ni Lucy Maanda, Zainabu Dodo na Mariam Kwimba (hawapo pichani) wakitoka kwenye Kongamano la UWT la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kazi yake iliyotukuka, kongamano hilo lilifanyika huko Mamaisara jijini Zanzibar hivi karibuni. (Picha na Mary Margwe).

Post a Comment

0 Comments