Nabii Dkt.Joshua:Njoo urudishe furaha ya kudumu katika maisha yako

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

RAIS wa New Covenant Unity International (NCUI) ambaye pia ni Kiongozi wa Huduma ya Sauti ya Uponyaji Tanzania yenye makao yake makuu Yespa, Kihonda mjini Morogoro, Nabii Dkt.Joshua Aram Mwantyala ametangaza siku mbili za kurudisha furaha ya kudumu kwa Watanzania wote.
Dkt.Joshua ni kati ya watumishi wachache wa Mungu ambao, Mungu amewapa karama ya kipekee ya kuwaombea wagonjwa, waliofungwa katika vifungo vya shetani na kupokea uponyaji wa papo kwa papo.

"Njoo urudishe furaha yako Januari 1 na 2,2022 hapa Morogoro mjini kwa Nabii Joshua +255742121212 / +255742141414.Ni siku mbili mbili za kuondoa yanayokutesa na kukurejeshea furaha kwa jina la Yesu,"amesema Dkt.Joshua.

Post a Comment

0 Comments