Rais Samia:Jeshi la Polisi badilikeni, zingatieni taratibu na maadili ili kuondoa malalamiko


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu wa aliyefanya vizuri katika nidhamu PF 17874 ASP Ally Juma Mwapumba ambaye ni kati ya waliohitimu katika mahafali ya wahitimu wa Mafunzo ya Maofisa Wanafunzi wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi Na. 1/2021, yaliyofanyika leo Desemba 12, 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini jijini Dar es Salaam. Katikati ni Inspekta Jenereli wa Polisi Simon Sirro.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride Maalum la Maofisa Wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi Na. 1/2021, katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo Dssemba 12, 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akihutubia Maofisa Wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021, katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo Desemba 12, 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi nchini na Wageni Waalikwa wakiwa kwenye Mahafali hayo.
Baadhi ya Maofisa Waandamizi wa jeshi la Polisi nchini na Wageni Waalikwa wakiwa kwenye Mahafali hayo.

Post a Comment

0 Comments