Simba SC uso kwa uso na Clatous Chama michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC watamshuhudia tena kiungo wao nyota wa zamani Clatous Chama katika dimba la Benjamin Mkapa akimenyana na timu yake hiyo ya zamani katika michezo ya makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.
Hii inafuatia timu ya RS Berkane anayokipiga nyota huyo wa Zambia kupangwa katika kundi moja la D na Simba SC katika michuano hiyo.

Aidha,timu nyingine zilizopo katika kundi D ni ASEC Mimosas ya Ivory Coast na US Gendarmerie.

Post a Comment

0 Comments