Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 9,2024

NJOMBE-Mwanafunzi wa darasa la tatu wa Shule ya Msingi Lungwa iliyoko Kijiji cha Utengule Kata ya Utengule Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe, Prince Mtivike (9), amefariki dunia baada ya kudaiwa kujinyonga kwa kamba ya viatu pembezoni mwa uwanja wa mpira shuleni hapo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga, amesema kuwa Prince alikutwa akiwa amejinyonga muda mfupi baada ya kula chakula cha mchana na wanafunzi wenzake shuleni hapo.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news