Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Desemba 13,2021

NA GODFREY NNKO

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imeendelea kuwa mstari wa mbele katika kutoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na huduma za kifedha nchini.

Leo Desemba 13,2021 imetoa taarifa zifuatazo kuhusu viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni.

Kwa mujibu wa BoT leo dola ya Marekani nchini inabadilishwa kwa Shilingi 2,283.62 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2307.46.

Upande wa Paundi ya Uingereza inabadilishwa kwa Shilingi 3015.98 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3046.60. Kwa taarifa zaidi endelea katika ubao huu hapa chini;

Pia ili uweze kupata taarifa mbalimbali zinazohusiana na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), usisite kutembelea www.bot.go.tz hadi wakati mwingine.

Post a Comment

0 Comments