Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar afanya mazungumzo na Rais Samia


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, leo tarehe 26 Januari, 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar).

Post a Comment

0 Comments