Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia afunga Matembezi ya Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba leo Januari 7, 2022 kwa ajili ya kufunga Matembezi ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Matembezi ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo Januari 7, 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Tuzo kwa Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Ndugu Kenan Laban Kihongosi kwenye Matembezi ya Maadhimisho ya kilele cha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo  Januari 7,2022 katika Uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Taifa kutoka kwa Abdalla Ali Chumu kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo Januari 7, 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM kutoka kwa Hadija Khalfan Ismail kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo Januari 7,2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Picha ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kutoka kwa Rajab Ali Rajab kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo Januari 7,2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Picha kutoka kwa Hadija Khalfan Ismail kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. 
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Zanzibar kutoka kwa Rajab Ali Rajab kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Cheti Habibu Rashid Mbota kwa Niaba ya Vijana kutoka Tanzania Bara walioshiriki kwenye Matembezi ya Maadhimisho ya kilele cha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news