Yanga SC yaja kisasa, yatoa orodha ya matawi yaliyokidhi vigezo

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

UONGOZI wa Klabu ya Yanga yenye maskani yake jijini Dar es Salaam umeendelea kufanya maboresho mbalimbali kwa lengo la kuongeza ufanisi na matokeo bora katika klabu hiyo kongwe.

Maboresho hayo yanaenda sambamba na kuyatambua matawi yake katika maeneo mbalimbali na yaliyochukua Katiba na fomu za uanachama kama ifuatavyo hapa chini;

Post a Comment

0 Comments