🔴LIVE:Mjadala wa Kitaifa kuhusu maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

KUELEKEA Mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan madarakani, WATCH TANZANIA  inakualika kushiriki Mkutano unaofanyika leo Februari 19, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.
Mada:Maendeleo katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

>Unaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa https://bit.ly/3sHfImS


>Au kupitia
Meeting ID: 88995394158
Passcode: 952759


Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Karibu tujadili Mafanikio katika Sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuelekea Mwaka mmoja wa Rais Samia Madarakani. Usikose.


Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB).


>MWAKA MMOJA WA RAIS SAMIA, KAZI IENDELEEE...

Post a Comment

0 Comments