Rais Dkt.Mwinyi ateta na ujumbe kutoka Wakfu wa Aga Khan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi Wakfu wa Aga Khan (Aga Khan Foundation ), Bi.Zahra Aga Khan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar Aprili 11,2022.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mfuko wa Aga Khan Foundation ukiongozwa na Mwakilishi wa mfuko huo Bi.Zahra Aga Khan (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwakilishi wa mfuko wa Aga Khan Foundation, Bi.Zahra Aga Khan (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments