Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama maziwa yanayotokana na korosho
wakati alipotembelea Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele, Mtwara,
Julai 7, 2020. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Berbadetha Kimata
ambaye ni Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo, Naliendele ya
Mtwara kuhusu utafiti wa mbegu za mhogo wakati alipoitembelea, Julai 7,
2020. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Naliendele, Dkt. Fortunus Kapinga (kushoto)
kuhusu utafiti wa mbegu bora za mhogo unaofanyika katika taasisi hiyo,
Julai 7, 2020. Wa pili kushoto ni Mtafiti Mkuu katikataasisi hiyo,
Bernadetha Kimata. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).