Magazeti leo Januari 27,2026

Mkuu wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema nafasi za kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea haziuzwi, zinatolewa bure kwa kila kijana wa Kitanzania mwenye sifa zilizoainishwa na JKT.
Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo Ofisini kwake Makao Makuu ya JKT Chamwino Dodoma, wakati walipokuwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari waliotaka kufahamu zaidi namna JKT linavyotekeleza jukumu la Malezi ya Vijana na umuhimu wake kwa Taifa.

Amefafanua kuwa nafasi zote zimepelekwa katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani, hivyo amewataka wananchi kuepuka matapeli watakaotaka kiasi chochote cha fedha ili kuwapatia vijana wao nafasi hizo.




















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here