MTANZANIA aliyejipatia umaarufu mkubwa mitandaoni, Dkt.Louis Shika amefariki.
Kwa mujibu wa habari zilizotufikia muda huu kutoka Hospitali ya Nyanguge Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, zimethibitisha kufariki kwa Dkt.Shika ambaye umaarufu aliupata baada ya kutangaza kutaka kununua nyumba za mnada za Kigamboni kwa bei ya Milioni 900 au Mia tisa itapendeza zaidi. Habari zaidi zitakujia punde www.diramakini.co.tz
Tags
Habari
