DR.GODWIN MOLLEL: TUPO PAMOJA, ILA WAFAHAMU TUNAWAJUA WOTE, SIHA NI MAPEMA TU
Mgombea ubunge Jimbo la Siha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel akisaini, kitabu cha orodha ya wagombea cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi, mara baada ya kuchukua fomu, kwa msimamizi wa uchaguzi, kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya chama hicho.Picha na www.diramakini.co.tz
Dkt. Godwin Mollel baada ya kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa na tume. Video na www.diramakini.co.tz
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Siha, Stephano Ndaki, akimkabidhi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo, Mgombea ubunge kupitia CCM, Dkt.Godwin Mollel.Picha na www.diramakini.co.tz