MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU MAKATIBU WAKUU WATEMBELEA UJENZI WA IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwaongoza Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu wakuu wa wizara zote za Serikali kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu Chamwino, Dodoma, alipowaalika kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hizo za Rais leo Ijumaa Agosti 21, 2020. Picha na Ikulu/Diramakini.