MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania wa Chama cha ACT Wazalendo, Bernard Membe na Mgombea Mwenza, Prof. Omar Faki Hamad wameidhinishwa na tume.
Mgombea huyo anakuwa wa nane baada ya wengine akiwemo kutoka CCM, ADA Tadea, SAU, NRA, Demokrasia Makini, NCCR Mageuzi na DP kuidhinishwa mapema jijini Dodoma na Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Mwenyekiti wake, Jaji mstaafu Semistocles Kaijage.
Kwa habari au matangazo (diramakini@gmail.com) www.diramakini.co.tz
Tags
Siasa
